MTUME ATOA AGIZO BILAL AITWE
MTUME ATOA AGIZO BILAL AITWE AJE.
/>
Siku alipofika Bwana Mtume (S.A.W) Makkah kwaajili ya Kuikomboa Makkah (FAT'HU MAKKAH) alisimama Mtume(S.A.W) ktk mlango wa Alkaaba na akauliza "yuko wapi Bilal"? Akasema niitieni Bilaal aje.
p>< p>Kisha akasema "WALLAHI Enyi maquraysh siachikuwa nimwenye kukumbuka siku ambazo mlikuwa mkiadhibiwa ambapo Bilaal alikuwa akiadhibiwa juu ya mlango huu wa Alkaaba,"
Naam Bilaal Akaitwa akaja alipofika Bilaal Mtume SAW akamuambia Bilaal, "ingia Ewe Bilaal, Hatoswali na Hatoswali pamoja nami ktk Alkaaba leo hii ispokuwa ww tu Bilaal".
Na kufanya hivyo ilikuwa ni Takrima na Kumfanya Bilaali ajihisi nayeye ni bora kama wengine na pengine hata kuwazidi wengine, yote hayo ni kwa kumhurumia na kumliwaza juu ya yale aliyapitia baada ya kusilimu ikiwemo kuadhibiwa adhabu kali kupita kiasi pale aliposilimu.
/>
Na pia ilikuwa ni message nzito kwa waarabu waliodhani mtu mweusi hana haki kama wao na kuwadhihirishia kwamba uislam hauruhusu ubaguzi wa Rangi wala hauruhusu kumdharau mwingine.
/>
Na Baada ya kumalizika Swala aliyoswali Mtume (SAW) Na Bilaal r.anhu Ktk Alkaaba, Akasema Mtume SAW kumuambia Bilaal,
/>
"Njoo Bilaal, Panda juu ya Alkaaba, baasi alipojaribu kupanda juu akapata uzito wa kupanda ndipo Mtume(SAW) akatizama pembeni yake akawa Sayyiduna Abuubakri na Umar r.anhuma wako karibu yake.
/>
Mtume(saw) akawaambia Abuubakri na Umar r.anhuma mbebeni Bilaali Apande Juu ya Alkaaba,
/>
Baasi akaweka Sayyiduna Bilaal R.anhu mguu wake wa kuume juu ya bega la sayyidina Umar r.anhu na mguu wake wa kushoto juu ya bega la sayyidina Umar r.anhu, akapanda juu ya Alkaaba.
/>
Akasema Mtume(SAW) Ewe Bilaal, Naapa kwa yule ambaye hapana apasaye kuabudiwa kwa haqqi ispokuwa yeye, hakika hii Alkaaba mbee za mwenyezimungu(S.WT) ni Tukufu mnoo, Na Naapa Hakika wewe Bilaali leo hii mbee za Allah ni Mtukufu na Mbora mno.
/>
Baasi Akasoma Adhaba Sayyiduna Bilaal r anhu na hali ya kuwa yuko juu ya Alkaaba, kwa Ulingano wa Tawhiid ktk jeshi lenye Waumini elfu kumi(10,000) wakiwemo mabwana wakubwa wa kiarabu akina Abuu Sufiyaan na wakiwemo Mabwana Watukufu wa kiswahaba akina Abuubakri, N.k radhiyallahu anhum ajmaiin
/>
Ikiwa Unapenda Kusoma Hadithi na Riwaya na VISA Mbalimbali baasi Follow Ukurasa wetu Sufian Mzimbiri ili kupata yote yanayochapishwa humo
/>
HAURUHUSIWI KUEDIT KWA KUPUNGUZA WALA KUONGEZA MANENO,
Imeandikwa na Sufian Mzimbiri
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله عدد كمال الله وكما يليق بكماله

Comments
Post a Comment