NIMECHUNGUZA TAARIFA HII NI YA UONGO NA YA KUTUNGWA IPUUZENI
Baadhi ya wakiristo wamekuwa wakisambaza taarifa ya uongo inayodai mfalme wa Kuwaiti amebadili dini na kuwa mkiristo taarifa hii ni ya Uongo na ni ya muda mrefu nimechunguza uongo huo ulichapishwa tangu mwaka 2012 January lakini ilikanushwa vikali na hata EATv iliikanusha taarifa hii ya kutunga. Hakuna ushahidi wa tangazo rasmi, wa mamlaka, au wa vyombo vya habari vikubwa unaothibitisha kuwa Mfalme au Mwana wa kifalme wa Kuwait aliyeitwa Abdullah Al-Sabah amebadili dini rasmi kutoka Uislamu na kuwa Mkristo. Zipo taarifa zinazodai jambo hilo mtandaoni, lakini hizi ni taarifa zisizo na uthibitisho wa uhakika: ✔️Ripoti zisizo rasmi: –Kuna taarifa za zamani zinazosema kwamba mtu aliyeitwa Abdullah al-Sabah alionekana kwenye kituo cha televisheni na kudai kubadilisha dini, lakini hakuna ushahidi wa uhakika wa mtu huyo kuwa mwanachama halali wa familia ya kifalme ya Al-Sabah. Watu wengine ndani ya Al-Sabah wanasema hakuna mtu kama huyo anayeonekana kwenye orodha ya familia ya kifalme. Hii in...